Idhaa yako ya Kiswahili ya DW inakupa fursa ya kupanda jukwaani kusema uliyonayo na ambayo ungelipenda ulimwengu uyasikiye, yawe ni masuala ya kisiasa, kijamii, kitamaduni au hata ya kifamilia.
https://p.dw.com/p/13uGE
Matangazo
Caro Robi anakupandisha jukwaani kuifanya sauti yako isikike ulimwenguni kupitia Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.