1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sarah Obama amsubiri mjukuu wake Barack

20 Julai 2015

Bibi yake rais wa Marekani Barack Obama, Sarah Obama, aiambia DW kwamba anamngojea rais Barack Obama kwa hamu. Bibi huyo atampikia Obama vyakula kadhaa vya kitamaduni atakapofika nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/1G1Wv
Sarah Obama, bibi yake Barack Obama
Picha: dapd

Geoffrey Mung'ou amezungumza na bibi yake Barack Obama, Sarah Obama, kufahamu namna anavyojiandaa kwa ujio wa mjukuu wake.

Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini