1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rwanda yapunguza ajali za barabarani

Sudi Mnette
20 Novemba 2017

Rwanda ni taifa la kutolewa mfano barani Afrika kwa kupunguza vifo vitokanvyo na ajali za barabarani. Zaidi tazama vidio iliyoandaliwa na mwandishi Dex Rugenera kutoka Kigali.

https://p.dw.com/p/2nvYh