1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Rwanda: Siku ya Haki za Binaadamu

Leo ikiwa ni siku ya kimataifa kwa ajili ya haki za binaadamu, tunaangazia hali ilivyo katika mji na wilaya ya Beni, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

Mjumbe maalumu wa rais wa nchi hiyo anafanya ziara kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ubakaji na unyanyasaji dhidi ya wanawake na watoto. . John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Beni. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za maskioni hapo chini.

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Saumu Yusuf

Sauti na Vidio Kuhusu Mada