Robert Alai azungumzia mitandao ya kijamii Kenya | Mada zote | DW | 10.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Robert Alai azungumzia mitandao ya kijamii Kenya

Nini nafasi ya mitandao hii kwenye kubadili maisha ya vijana wa Kiafrika na kuwafanya kuleta mabadiliko chanya kwenye maisha yao? Mjini Nairobi, Mohammed Khelef alikutana na mwanablogu maarufu Robert Alai, na hapa anazungumzia kile ambacho mitandao ya kijamii inamaanisha kwake na kwa jamii ya vijana wa Kenya

Sikiliza sauti 04:25