1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

RB Leipzig mabingwa wa kombe la shirikisho

Josephat Charo
23 Mei 2022

RB Leipzig kukwaana na Bayern Munich katika kombe la Super Cup baada ya kushinda kombe la shirikisho la Ujerumani, DFB Pokal. Hertha Berlin wana dakika 90 tu kuepuka shoka la kushuka daraja, nyasi kuwaka moto leo dhidi ya Hamburg uwanjani Volkspark. Mjerumani Ilkay Gundogan aandika historia Etihad. AC Milan yashinda Serie A kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 11.

https://p.dw.com/p/4Bkec