1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa zamani wa Uganda azikwa leo

Josephat Nyiro Charo11 Agosti 2010

Godfrey Binaisa aliaga dunia wiki iliyopita

https://p.dw.com/p/OifD

Aliyekuwa rais wa Uganda kuanzia mwezi juni 1979 hadi mei 1980, Godfrey Binaisa, amezikwa leo. Binaisa alifariki siku ya alhamisi wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka tisini. Serikali ya Uganda ilitangaza leo kuwa siku ya mapumziko nchini Uganda kwa heshima ya marehemu Godfrey Binaisa. Leyla Ndinda anaarifu zaidi kutoka Kampala.

Mwandishi: Leyla Ndinda

Mhariri: Othman Miraji