Rais Kikwete ashinda awamu ya pili
5 Novemba 2010Matangazo
Hayawi hayawi, mwishowe huwa.
Baada ya mchakato wa takriban mwezi mmoja wa kampeni ya kukata na shoka, hatimaye ni rasmi kwamba mgombea urais wa chama tawala CMM, Jakaya Mrisho Kikwete ndiye mshindi wa uchaguzi huo nchini Tanzania.
Sherehe ya kuapishwa kwake inatarajiwa kuandaliwa Jumamosi 06.11.2010