1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kabila afanya mazungumzo na makamanda wa Jeshi Mashariki mwa Kongo

11 Aprili 2012

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, amefanya mazungumzo na makamanda wa jeshi katika mji wa mashariki wa Goma.

https://p.dw.com/p/14bTC
Mji wa Goma,mashariki wa Kongo
Mji wa Goma,mashariki wa KongoPicha: AP

Mazungumzo hayo yanafuatia uasi uliojitokeza jeshini mwishoni mwa juma lililopita. Wakati huo huo, rais wa Kongo waliokimbilia Uganda baada ya kuripuka kwa mapigano wameanza kurejea nyumbani. Mwandishi wetu John Kanyunyu anayo taarifa zaidi kutoka Goma.

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi