PYONGYANG: Wakaguzi wa IAEA wamewasili Korea ya Kaskazini | Habari za Ulimwengu | DW | 28.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

PYONGYANG: Wakaguzi wa IAEA wamewasili Korea ya Kaskazini

Tume ya pili ya wakaguzi wa Shirika la Nishati ya Nyuklia la Umoja wa Mataifa,IAEA imewasili Korea ya Kaskazini.Wakaguzi hao watasimamia hatua ya kufunga mtambo wa nyuklia wa Yongbyon.Serikali ya Pyongyang imekubali kusitisha mradi wake wa nyuklia uliozusha mabishano na badala yake, inapewa misaada ya kiuchumi na kiutu.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com