Polisi Kenya wawasaka viongozi wa MRC
8 Oktoba 2012Matangazo
Kutoka Mombasa Sudi Mnette alizungumza na Katibu Mkuu wa MRC Randu Mzai Ruwa Baraza ambapo kwanza alianza kuzungumzia jaribio la leo asubuhi la kutaka kukamatwa Msemaji wao, Mohammed Rashid Mraja.
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohammed Abdulrahman