1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Papa Francis apokelewa kwa shangwe Kenya

Watu wengi walijitokeza kumlaki kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani katika uwanja wa kimataifa wa ndege Jomo Kenyatta mjini Nairobi. Bendera za Kenya na Vaitcan zimeonekana zikipepea kote mjini.

Sikiliza sauti 02:20

Sikiliza ripoti ya Alfred Kiti kutoka Nairobi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada