1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

OSAKA: Mkenya anyakua medali ya dhahabu

25 Agosti 2007
https://p.dw.com/p/CBWC

Mwanariadha wa mbio za masafa marefu,Luke Kibet wa Kenya ameshinda mbio za marathon katika Mashindano ya Riadha Ulimwenguni,“World Athletics Championships“ yaliyofunguliwa hii leo katika mji wa Osaka nchini Japan.Kibet amemshinda Mubarak Hassan Shami wa Qatar kwa sekunde 1.18.Viktor Rothlin wa Uswissi amejinyakulia nafasi ya tatu.