Odinga hatoshiriki uchaguzi hadi madai yake yatimizwe | Mada zote | DW | 05.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kenya Yaamua

Odinga hatoshiriki uchaguzi hadi madai yake yatimizwe

Raila Odinga amesema muungano wa NASA hautashiriki katika uchaguzi mpya wa rais kwa tarehe iliyotangazwa na Tume ya uchaguzi, ya Oktoba 17. Odinga amesema ni hadi pale watakapopata hakikisho kuhusu masuala kadhaa ya kisheria na kikatiba.

Sikiliza sauti 03:12
Sasa moja kwa moja
dakika (0)