Nuremberg: Ukosefu wa kazi Ujerumani umepungua katika mwezi huu wa Februari | Habari za Ulimwengu | DW | 28.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Nuremberg: Ukosefu wa kazi Ujerumani umepungua katika mwezi huu wa Februari

Ukosefu wa kazi hapa Ujerumani umepungua na kufikia asilimia 10.1 katika mwezi huu wa Februari kutoka asilimia 10.2 mwezi uliopita. Idadi ya Wajerumani wasiokuwa na kazi imepungua na kufikia milioni 4.22, ukilinganisha na milioni 4.24 mwezi uliopita. Hali hiyo imesababishwa kwa vile majira ya baridi hayajawa makali mara hii na bidhaa nyingi zimesafirishwa ngambo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com