NOORDWIJK- NATO kupata askari zaidi kutoka kwa wanachama wake kwa ajili ya Afghanistan
25 Oktoba 2007Matangazo
Nchi za mfungamano wa kijeshi wa NATO zimekubaliana juu ya kuchangia wanajeshi zaidi kwa ajili ya kutekeleza jukumu la kulinda amani nchini Afghanistan.
Mawaziri wa ulinzi wa nchi za mfungamano huo wamefikia makubaliano hayo kwenye mkutano wao mjini Noordwijk, nchini Uholanzi.