Nini hatima ya Kenya kisiasa baada ya uamuzi wa ICC?
Mohammed Abdulrahman30 Januari 2012
Mohammed Abdulrahman anaongoza kipindi cha maoni kutoka Deutsche Welle, swali kubwa likiwa hatima ya kisasa ya Kenya baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuwakuta Wakenya wanne na kesi ya kujibu.