Niapoli, Italia. Polisi wasaka wauza madawa ya kulevywa. | Habari za Ulimwengu | DW | 21.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Niapoli, Italia. Polisi wasaka wauza madawa ya kulevywa.

Katika operesheni kubwa kabisa kuweza kufanyika dhidi ya makundi ya kihalifu , polisi wa Niapoli wamewakamata kiasi watu 200 jana Jumanne, ikiwa ni pamoja na katika baadhi ya sehemu familia nzima.

Maafisa wamesema kuwa lengo lilikuwa kuvunja biashara inayozidi kupanuka kusini mwa Italia ya madawa ya kulevywa, inayoendeshwa na kundi ya kihalifu la Mafia, wanaojulikana kama Camorra.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com