NEW DELHI: Rais wa kike wa kwanza nchini India | Habari za Ulimwengu | DW | 21.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NEW DELHI: Rais wa kike wa kwanza nchini India

Rais mpya wa India ni Bibi Pratiba Patil wa chama tawala cha Congress.Patil ni mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo,baada ya kumshinda mpinzani wake,Bhairon Singh wa chama cha kizalendo cha Kihindu-BJP.Kura zilizosombwa na Bibi Pratiba Patil,ni maradufu ya zile alizopata mhasimu wake Bhairon Singh.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com