NEW DELHI: Mafuriko yameathiri mamilioni kusini mwa Asia | Habari za Ulimwengu | DW | 05.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NEW DELHI: Mafuriko yameathiri mamilioni kusini mwa Asia

Mafuriko yaliyosababishwa na pepo za msimu wa mvua kubwa,yameathiri mamilioni ya watu kusini mwa bara la Asia.Takriban watu milioni 10 wamepoteza makazi yao.Mashirika yanayoshughulikia maafa hayo yamesema,maeneo yaliyoathirika vibaya zaidi ni Kaskazini ya India,Bangladesh na Nepal. Maafisa serikalini wamesema,nchini India peke yake,idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko hayo,imefikia 1,100.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com