Nawaz Sharif alaumu Magharibi
2 Septemba 2007Matangazo
ISLAMABAD:
Waziri mkuu wa zamani wa pakistan aishie uhamishoni Nawaz Sharif amezilaumu nchi za magharibi kwa kumuungamkono kama kipofu jamadari Musharraf ili asalie bado madarakani.
Alizitaka nchi za magharibi kutofautisha wazi baina ya utawala wa kidemokrasi na wa mabavu ulioisongeza Pakistan ukingoni mwa kutumbukia katika janga.
Nawaz Sharif amesisitiza azma yake ya kurejea nyumbani mwezi huu