1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NASA wahofu kuibiwa kura

Lilian Mtono
12 Julai 2017

Mgombea Urais kwa tiketi ya Muungano wa upinzani, NASA nchini Kenya, Raila Odinga ametoa tahadhari kuhusu wizi wa kura na uwezekano wa wananchi kutokuwa na imani na tume ya uchaguzi. Dr. Willy Kingi, mmoja wa maafisa wa muungano huo amezungumzia kwa kina wasiwasi huo na yanayoweza kutokea.

https://p.dw.com/p/2gOSy