Mzozo wa mpakani baina ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Uganda unazidi kupamba moto
16 Agosti 2007
Kikosi cha umoja wa mataifa cha MONUC kilikuwa msuluhishi katika mazungumzo baina ya majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Uganda ili kuepuke mapigano kati ya pande hizo mbili.
https://p.dw.com/p/CH9U
Matangazo
Mkutano huo ulifanyika baada ya mapigano katika eneo la Rukwangi kwenye Ziwa Albert.