1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwekezaji mwanamke nchini Rwanda

8 Julai 2015

Idadi kubwa ya wafanyakazi wa bibi huyo mwenye kiwanda cha kutengeneza uyoga mjini Kigali, nchini Rwanda, ni wanawake. Na wengi wa wanawake hao wanaishi na virusi vya Ukimwi.

https://p.dw.com/p/1Fv1P
Bildergalerie Ruanda Kontraste
Picha: DW/A. Le Touzé

Mwekezaji mwanamke nchini Rwanda amejizatiti kuwapa ajira watu wenye virusi vya Ukimwi

Kusikiliza makala ya Wanawake na Maendeleo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini