Mwanamke anachukuliwaje kwenye miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika?
14 Julai 2011
Tanganyika ilipata uhuru wake mwaka 1961 kutoka kwa Waingereza na baadaye kujiunga na Zanzibar mwaka 1964 kuunda Muungano wa Tanzania, lakini nafasi ya mwanamke katika mapambano ya uhuru huo haitajwi sana.
https://p.dw.com/p/RZlc
Matangazo
Hawra Shamte anaangalia taswira na nafasi ya mwanamke kutoka harakati za uhuru wa Tanganyika hadi kuundwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.