1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanajeshi wa Iraq aua wamarekani 2

5 Januari 2008

---

https://p.dw.com/p/CklS

BAGHDAD:

Jeshi la Marekani limethibitisha kuwa mwanajeshi wa Iraq kwa makusudi aliwapiga risasi na kuwaua wanajeshi 2 wa kimarekani wakati wakishika zamu pamoja huko Mosul,kaskazini mwa Iraq hapo desemba 26.Hiki ni kisa cha kwanza kwa askari wa jeshi la Iraq kuwalenga makusudi wanajeshi wa marekani kuwaua.Kamanda wa kikosi cha pili cha jeshi la Iraq ,Brig-jenrali Al-Khazraji alithibitisha mauaji hayo.