1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwaka mmoja kabla ya uchaguzi Kenya

Khelef Mohammed Mohammed5 Agosti 2016

Tarehe 8 Agosti 2017 wananchi wa Kenya watamiminika vituoni kuchagua tena serikali yao. Baadhi ya wabunge walitaka uchaguzi ufanyike Desemba 2016 lakini tume ya uchaguzi imekataa hilo. Kenya inajiandaa vipi kwa uchaguzi mkuu? Ni swali ambalo Mohammed Khelef anajadili naGasheki Gashehi, Kennedy Wandera na Rutaraka Ate Junior.

https://p.dw.com/p/1JcED