Muziki maarufu wa Kiswahili nchini Kenya
25 Juni 2010Matangazo
Mmoja kati ya wataalamu waliotoa mada ni Bwana Tobias Mulwoni Shikuku, mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Masinde Muliro, nchini Kenya. Makala alioiwasilisha ilikuwa na kichwa cha maneno: Muziki wa kiswahili unaopendwa kama chombo cha kuwazindua wananchi juu ya masuala ya wakati nchini Kenya. Haya hapa madondoo ya yale aliyoyazungumza: