Muswada wa katiba mpya wapitishwa Kenya
3 Aprili 2010Matangazo
Bunge la Kenya limepitisha muswada wa katiba mpya ya nchi hiyo, huku viongozi wa Kanisa wakielezea upinzani wao kuhusu yaliomo ndani ya katiba hiyo.
Grace Kabogo alizungumza na wakili na mhadhiri kwenye Chuo Kikuu cha Nairobi katika kitivo cha sheria, Dr. Patrick Lumumba kwanza anaelezea mtazamo wake juu ya mswaada huo.