Muscat: Hamna hata mwanamke mmoja aliyeshinda katika uchaguzi wa baraza la ushauri la Oman | Habari za Ulimwengu | DW | 28.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Muscat: Hamna hata mwanamke mmoja aliyeshinda katika uchaguzi wa baraza la ushauri la Oman

Hamna hata mwanamke mmoja aliyechaguliwa kati ya wanawake 21 waliopigania katika uchaguzi wa baraza la ushauri lenye wanachama 84 huko Oman. Baraza hilo halina usemi mkubwa katika mambo ya serekali ya nchi hiyo. Mwaka 2003 wanawake wawili walishinda kuingia katika baraza hilo katika nchi hiyo inayotawaliwa na Mfalme Qaboos.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com