1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mungiki wazusha taharuki Kenya

5 Juni 2007

Nchini Kenya raia wameingiwa tumbo Joto kufuatia mauaji yanayofanywa na kundi la Mungiki

https://p.dw.com/p/CB3n
Wakenya wahangaishwa na Mungiki
Wakenya wahangaishwa na MungikiPicha: picture-alliance / Helga Lade Fo

Watu wasiopungua 20 wanaoshukiwa kuwa wafuasi wa kundi haramu la Mungiki wameuwawa na Polisi Mathare Nairobi Kenya.