1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtikisiko wa siasa za Tanzania

Mohammed Khelef10 Agosti 2015

Mtikisiko wa kisiasa uliyoikumba Tanzania ikiwa inaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba umetua kwenye takribani vyama vyote vya siasa nchini humo. Kwa mengi zaidi sikiliza mahojiano baina ya Tundu Lissu, Mbarala Maharagande na Abdulfatah Mussa wakiongozwa na mwandishi wetu Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/1GCtc