Mswada wa Katiba mpya wakosolewa na wapinzani Tanzania
17 Septemba 2013Matangazo
Mswada huo ulipitishwa na wabunge wengi wa chama tawala nchini Tanzania. Muda mfupi baada ya mkutano wake na wadau kutoka Jukwaa la Katiba nchini Tanzania, Sudi Mnette alizungumza na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambae kwanza anaelezea nini hasa kilichowasukuma kuanza harakati hizo. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohamed Abdulrahman