1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msimamo wa makanisa kuhusu sheria mpya ya ndoa nchini Uganda

10 Aprili 2007

Katika kuadhimisha sikukuu ya pasaka nchini Uganda,viongozi wa madhehebu ya kikatoliki na madhehebu ya kiprotestanti walilaani vitendo vya uzinifu, na kuitaka serikali iheshimu yalioandikwa katika kitabu cha Biblia.

https://p.dw.com/p/CHGe
Omar Mutasa ana maelezo zaidi kutoka Kampala.