1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msemaji wa Polisi Uganda auwawa

John Juma
17 Machi 2017

Msemaji wa jeshi la polisi la Uganda Andrew Felix Kaweesi ameuawa kwa kupigwa risasi leo hii. Haijajulikana mshambuliaji wala sababu za shambulizi hilo. John Juma amezungumza na mchambuzi wa siasa nchini humo Mande Akol Amazima

https://p.dw.com/p/2ZNgF