Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama cha CUF Tanzania aapishwa leo
12 Februari 2010Matangazo
Uteuzi huo unaangaliwa na wachambuzi kama ni wa kuyapa nguvu maafikiano yaliofikiwa
kati ya Rais Amani Karume na Bw. Hamad, kumaliza miaka kadhaa ya
mivutano ya kisiasa huko Zanzibar.
Josephat Charo alizungumza na Bw.
Jussa ambaye ataapishwa rasmi hii leo na kumuuliza jinsi alivyoupokea uteuzi
huo.
Mahojiano/ Josephat Charo/Ismail Jussa
Mpitiaji :M.Abdul-Rahman