1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Msafara wa amani wang´oa nanga Arusha kuelekea Bujumbura

Siku ya vijana inaadhimishwa leo na pia unaanza mwaka wa vijana kwa mujibu wa wa azimio la Umoja wa Mataifa

default

Leo ni siku ya vijana

Leo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya vijana duniani, Umoja wa Mataifa nao umetangaza kuanza rasmi kwa mwaka wa vijana wa kimataifa. Mwaka huo umetangazwa kwa kuzingatia azimio la kimataifa kifungu A/RES/64/134. Kaulimbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni ''Majadiliano na Maelewano.'' Wakati hayo yakijiri msafara wa amani wa vijana wa Afrika Mashariki umeanza rasmi hapo jana mjini Arusha. Mwandishi wetu wa Arusha, Nicodemus Ikonko ametutumia taarifa ifuatayo:

Mtayarishaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri:Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 12.08.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/OmGd
 • Tarehe 12.08.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/OmGd