Mripuko Mjini Nairobi
6 Desemba 2012Matangazo
Duru za mashirika ya msaada zinaeleza kuwa watatu miongoni mwa waliojeruhiwa wako katika hali mahututi. Muda mfupi uliopita Daniel Gakuba amezungumza na naibu mkuu wa polisi ya Kenya, Charles Owino, na kwanza alimuuliza ni kina nani wanaoshukiwa kusababisha mripuko huo.
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Daniel Gakuba
Mhariri:Yusuf Saumu