Moto wateketeza maduka 150 KaragweElizabeth Shoo12.04.201612 Aprili 2016Moto huo ulizuka usiku wa kuamkia Jumanne na kuchoma vibanda na maduka kwenye soko la mjini Kayanga, Wilayani Karagwe. Mwandishi wa habari Adelina Rwelamila aeleza hali ilivyokuwa.https://p.dw.com/p/1ITiQMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio