1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mombasa: mshukiwa wa ugaidi afikishwa mahakamani

Eric Ponda6 Januari 2016

Mjini Mombasa mshukiwa mmoja wa Ugaidi aliyejisalimisha kwa polisi amefikishwa mahakamani. Na washukiwa 42 wa kundi lililopigwa marufuku la Mombasa Republican Council, MRC, pia walikuwa kizimbani kujibu mashtaka ya kupanga njama za kutenda maovu mjini Mombasa.

https://p.dw.com/p/1HZIY