Mombasa: Baada ya kuuliwa Nabahan
15 Septemba 2009Matangazo
Nabahan ni mwenyeji wa Mombasa nchini Kenya, ambako watu
wanaoaminika kuwa jamaa zake wanaomboleza kwa ukimya kufuatia taarifa
za kuuawa kwake. Mwandishi wetu wa mjini Mombasa Eric Ponda
alivinjari nyumbani kwa mtuhumiwa huyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.