1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MOGADISHU: Mwito umetolewa wa kusitishwa mapigano Somalia

4 Aprili 2007
https://p.dw.com/p/CCCh

Marekani, bara Ulaya na nchi za Afrika zimetoa mwito wa kusitishwa mapigano nchini Somalia baada ya machafuko ya hivi karibuni katika mji wa Mogadishu kusababisha vifo vya mamia ya watu.

Nchi hiyo inakabiliwa na wimbi la takriban wakimbizi laki moja.