MOGADISHU: Mapambano makali yameua watu 7
27 Oktoba 2007Matangazo
Hadi watu 7 wameuawa katika mapigano makali yaliyotokea katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.Wengi wengine wamejeruhiwa.Waasi wa Kiislamu na vikosi vya Ethiopia vinavyoisaidia serikali ya mpito ya Somalia walipambana katikati ya Mogadishu.