1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mo Ibrahim, ukuwaji wa uchumi na utawala mbaya Afrika

Mohammed Khelef11 Oktoba 2015

Maoni Mbele ya Meza ya Duara inajaribu kusaka jawabu ya swali moja kuu – je, kwa nini hakuna uwiano kati ya ukuwaji wa uchumi na utawala bora barani Afrika? Kwa nini matumaini ya Afrika kusonga mbele yavunjwe na kutoimarika uongozi bora na utawala wa sheria? Je, katika kuelekea ukuwaji wa kiuchumi, haki za binaadamu, ushiriki wa wananchi, uhuru wa kuamua na kuchagua vina nafasi gani?

https://p.dw.com/p/1GmH0