Mmoja afa baada ya zoezi la kiusalama Kenya01.12.20151 Desemba 2015Polisi nchini Kenya inachunguza zoezi la kupima utayari wa kukabiliana na shambulizi la magaidi katika chuo kikuu cha Strathmore Nairobi, ambapo mtu mmoja alifariki na zaidi ya wanafunzi 20 kujeruhiwa.https://p.dw.com/p/1HFRkPicha: picture-alliance/dpa/D. IrunguMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio