1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkuu wa Polisi awaonya wanasiasa nchini Kenya

24 Aprili 2007

Ikiwa imesalia miezi kadhaa kabla Kenya kuingia kwenye uchaguzi wa bunge na ule wa rais, kamishna mkuu wa polisi nchini humo amesema kwamba wanasiasa hawataruhusiwa kuhutubia umati wa watu bila ya kibali kutoka kwa polisi.

https://p.dw.com/p/CHFa

Polisi pia imesema kuwa mwanasiasa yoyote atakae mtusi rais Mwai kibaki atatiwa mbaroni.

Mwandishi wetu Mwai Gikonyo ana ripoti kamili kutoka Nairobi.