Mkutano wa siku tatu kuhusu maendeleo na vitega uchumi katika maeneo ya kusini mwa Sudan unafanyika mjini Nairobi nchini Kenya.
https://p.dw.com/p/CHIB
Matangazo
Mkutano huo kama anavyotuarifu mwandishi wetu wa Nairobi Mwai Gikonyo umeandaliwa na mashirika mbali mbali ya Umoja wa mataifa, Benki Kuu ya dunia na mataifa fadhili.