1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa uwekezaji mjini Addis Ababa,Ethiopia

Wataalamu kutoka nchi za kusini mwa jangwa la sahara wanakutana kwa siku mbili mjini Addis Ababa,Ethiopia katika mkutano unaojadili namna ya kuboresha uwekezaji na kuvutia mitaji kutoka nje kwa ajili ya maendeleo ya bara la Afrika.

Ukame nchini Ethiopia

Ukame nchini Ethiopia

Kwa mengi zaidi mwandishi wetu Anaclet Rwegayura anaripoti zaidi kutoka Addis Ababa.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com