Mkutano wa UNICEF na UNFPA wajadili vifo vya mama wajawazito wakati wa kujifungua | Matukio ya Kisiasa | DW | 19.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa UNICEF na UNFPA wajadili vifo vya mama wajawazito wakati wa kujifungua

Mkutano wa kimataifa unaojadili vifo vya akina mama wakati wa kujifungua na watoto kuanzia umri wa siku moja hadi miaka mitano, unaendelea mjini Dar es Salaam,Tanzania wakishiriki watafiti na wakung kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Mkutano huo umeandaliwa kwa pamoja na Shirika la watoto la umoja wa mataifa UNFPA.

Mwandishi wetu Christopher Buke anaripoti zaidi kutoka Dar es Salaam,Tanzania

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com