Mkutano wa SADC nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
27 Aprili 2007
Jumuiya ya mataifa ya kusini mwa Afrika SADC imesema ipo tayari kuwekeza katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kupitia sekta ya kilimo,ujenzi na miundo mbinu.
https://p.dw.com/p/CHFI
Matangazo
Hayo ndio matokeo ya mkutano wa siku nne wa mataifa wanachama wa jumuiya hiyo unaomalizika leo mjini Kinshasa.
Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.